Jumapili, 13 Desemba 2026
Mahali: —
Kwa neema ya Mungu, tunawakaribisha ndugu, jamaa na marafiki kushiriki nasi katika shangwe ya harusi ya Emmanuel Godfrey Gesoreka na Mary Steven Daimond. Tunapenda pia kuwakaribisha kuweka ahadi zenu za mapenzi kwa ajili ya siku hii maalum.
Single — Tsh 70,000 | Double — Tsh 150,000
Ukichagua Kiasi kingine, utaandika kiasi unachotaka.